Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Now you understand how women are? 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now you understand how women are? 🤣🤣🤣
sasas wewe nae unanihangusha bwana...hapa unakuja kwenye threat ya facts alafu wewe huyo huyo umesema mliconduct research na kuja na hizo findings.Hapana, nadhani kila.mwanamke ana preference zake, na binafsi sidhani kama ukubwa wa maumbile au udogo una impact yoyote kwenye sex as long ujue namna ya kumridhisha mwenzi wako
I still don't! 😁Now you understand how women are? 🤣🤣🤣
I do trust it lakini lakini am still confused kwa sababu motives zao ni tofauti na my own motives and i think its a broad discussion around na inahitaji more findings and more samplingsasas wewe nae unanihangusha bwana...hapa unakuja kwenye threat ya facts alafu wewe huyo huyo umesema mliconduct research na kuja na hizo findings.
hii statement yako mwenyewe tena ina contradict findings. how so au wewe mwenyewe u dnt trust research yako mwenyewe?
Basi let it go😅I still don't! 😁
Mbona rahisi tu 😂🤣🤣🤣🤣 ni ngumu ila not as how you explain it, hata nyie wanaume ni ngumu sana kuwaelewa, sometimes mnakua kama watoto wadogo
Nsha give up, ntampa cha kaisari chake, mengine atajipanga! 🤣 🤣Basi let it go😅
Ndio maana tunatofautiana majira, like new year kwao ni tofauti na sisiIn Ethiopia, clocks are turned upside down, with their 6 where our 12 would be.
That's coolIn Ethiopia, clocks are turned upside down, with their 6 where our 12 would be.
Alikua na vyeo, hata mwenda zake alikaribia kujipa veo vyote hiviThe official title of Idi Amin, the Ugandan dictator, was “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”.
Ndio maana hakukaa kwa huu utopolo! 🤣 🤣 🤣The official title of Idi Amin, the Ugandan dictator, was “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”.
Yeah kabisa kabisa,huo ndo ulikuwa uelekeo wa mwendazakeAlikua na vyeo, hata mwenda zake alikaribia kujipa veo vyote hivi
Vyeo vingi sio mchezoNdio maana hakukaa kwa huu utopolo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mkuu, umenikumbusha mbali sana. Yule jamaa wa football - "Al Hadji Diof" 👏🏽The official title of Idi Amin, the Ugandan dictator, was “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”.
Mh...The clitoris is designed to bring a woman pleasure. That is its sole purpose. Not reproduction.
whats confusing tena jamamni?I do trust it lakini lakini am still confused kwa sababu motives zao ni tofauti na my own motives and i think its a broad discussion around na inahitaji more findings and more sampling