BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 980
- 2,679
- Thread starter
- #2,661
Miaka elfu moja iliyopita kulikuwa na aina ya oparesheni "surgery" iitwayo trepanation ambapo mgonjwa alikuwa anatobolewa matobo katika fuvu la kichwa akiwa hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 Maskio na macho, wapi na wapi? Walikuwa pumba kweli! 🤣Wamisri wa zamani walikuwa wanajaribu kutibu upofu wa macho kwa kuchanganya macho ya nguruwe, udongo wa mfinyanzi pamoja na asali kisha wanatia masikioni kwa mgonjwa.
Hiyo 10*60(0)... Aliyevumbua ni nani sababu hata hela ya dunia nzima sidhani itafika hapo! 🤣Pesa kama pesaView attachment 1764037
Sasa kama hujui kitu kikamilifu unawezaje kukisia kuwa unajua kwa 5%Ujuzi wa binadamu wa mambo ya bahari ni chini ya asilimia 5% kwahiyo kuna mambo mengi sana hatuyajui kuhusu bahari
Hata sahi wako! 🤣... Undercover lakini!Katika karne ya 16 na 17 baadhi ya watu katika nchi za ulaya waliamini kula mifupa ya binadamu, damu pamoja na mafuta ya binadamu kunasaidia kuponya magonjwa Fulani, kwahiyo walikuwa wanatabia ya kufukua makaburi na kuiba maiti na pia kuiba zile egypt mummies (maiti za kale zilizo kaushwa)
Yaweza kuwa hata 0.01% bado hatujafika, au sio? 😂Sasa kama hujui kitu kikamilifu unawezaje kukisia kuwa unajua kwa 5%
Hiyo 5% ni kwa wale wataalamu kabisa, wewe unaweza kuwa na 0.0001%Sasa kama hujui kitu kikamilifu unawezaje kukisia kuwa unajua kwa 5%
Kwenye viwanda vya pesa wanaweza kuwa wanafikia mahesabu hayoHiyo 10*60(0)... Aliyevumbua ni nani sababu hata hela ya dunia nzima sidhani itafika hapo! [emoji1787]
😳😬Kwenye viwanda vya pesa wanaweza kuwa wanafikia mahesabu hayo
Replica ya uswahilini sio? 😂 😂 😂ngoja na sie tutafute kijiji tuite mbususu
KaribuNakuja kuunga mkono juhudi si muda mrefu..