JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Miaka elfu moja iliyopita kulikuwa na aina ya oparesheni "surgery" iitwayo trepanation ambapo mgonjwa alikuwa anatobolewa matobo katika fuvu la kichwa akiwa hai.
download.jpg
download%20(1).jpg
 
Katika karne ya 16 na 17 baadhi ya watu katika nchi za ulaya waliamini kula mifupa ya binadamu, damu pamoja na mafuta ya binadamu kunasaidia kuponya magonjwa Fulani, kwahiyo walikuwa wanatabia ya kufukua makaburi na kuiba maiti na pia kuiba zile egypt mummies (maiti za kale zilizo kaushwa)
 
Hata sahi wako! 🤣... Undercover lakini!
 
Back
Top Bottom