Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Je wajua kuwa Jakaya alifahamiana na Lowassa kwa mara ya kwanza 1974 wakiwa wanafunzi UDSM? Baadae Jakaya alitumikia chama na akapita jeshi, Lowassa naye akafanya hivyo. Jakaya alipomteua Lowassa kuwa Waziri mkuu walikuwa wanafahamiana kwa takribani miaka 30