JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Je wajua kuwa Jakaya alifahamiana na Lowassa kwa mara ya kwanza 1974 wakiwa wanafunzi UDSM? Baadae Jakaya alitumikia chama na akapita jeshi, Lowassa naye akafanya hivyo. Jakaya alipomteua Lowassa kuwa Waziri mkuu walikuwa wanafahamiana kwa takribani miaka 30
 
Harvard ndicho chuo cha Elimu ya juu cha muda mrefu zaidi USA?Pia Ina rekodi ya kutoa washindi 161 wa tuzo za Nobel na viongozi 23 wa juu wa nchi.Makabati ya vitabu yaliyopo kwenye maktaba za Harvard yakipangwa pamoja yataenda umbali wa Kilometa 29.
 
Black apples do exist! 🍏
IMG_20210523_233750.jpg
 
Norway’s electoral system is significantly weighted in favour of those living in rural areas, reducing the influence of urban voters.
NB- This's actually clever, coz lazma uwe umefanya maendeleo yanayoonekana mashinani, ndio upate kura za kukupitisha awamu nyingine. Bila hivyo, hata wa mjini wakupigie vipi, it'll not change a damn thing about your fate. 😂
 
Kwa hapa kwetu it will favour the rulling party maana wapiga kura wengi wapo huko vijijini halafu they love ccm balaa, wanalala kwenye ngozi za mbuzi lakini nje ya majumba yao ya udongo wameweka bendera za ccm
 
Kuna ndge anaitwa sparrow maisha yke anakuwa angani anaruka sehem mbalimbali dunian anapumzika Mara mbili tuu kwa mwaka mwezi wa sita na kumi na mbili hyoo ndge anapatikana bara la asia
Point of correction - It's the common swift/Alpine swift birds that have a breaking record of spending almost 10 months in the air or 6 months non stop flying. It's also discovered that at least twice a day – usually dawn and dusk, the common swifts would climb to around 10,000 ft above.
 
i never knew about it kwa kweli
 
Back
Top Bottom