Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Afu wewee?
Mgonjwa gani una mikumbukumbu ya story za mwaka juzi ?
Hiyo story mlalamikaji sikua mie, mi nilimsemea my swaiba.
Nway umenafuunika kugonjweka? Basi na wewe hata mornin sickness mpaka nasie tujue!
Scoarer tu si angetosha?
Kipipi rafiki yangu mbona rahisi sana...Ukishindwa nitakusaidia loh
Tutakutafutia energizer bhana
Usijali mpendwa....you will be stong as time pass byHaya nitaangalia KOKU!
Mi mwenzenu siku hizi legelege sana.
Usijali mpendwa....you will be stong as time pass by
Kipipi mie miss you sana mpenzi wangu
Kwani niliugua ugonjwa wa akili?
heheh we zuga tu!
Mie nimeshanafuuka looooooongiii.
Hayo mengine yako wewe na akili yako ya kinanihii nanihiii.
Baado hujasema!! Kuna siku inakuja utasema yote!
Kwani kuna ya ziada niliyobakiza??
Nisaidiepo basi.
Ndiyo yapo.
But hua si kawaida yangu kusambaza nafaka haba kwenye wanyama wengi wanaotaga!
Na wewe umeanza lini tabi mbaya ya kuwatishia watu wazima nyau?
Babu DC!!
Abeee darling watu8 daddy dearest, nimekuja mpenzi.......Nivute kwako.....Jamani darling wangu lol...
Nilikuwa nataka tumtafutie potter wa kumpa usaidizi, si unajua ilivyo tabu kufika kilele cha Uhuru peak!!
Halafu mpenzi nimekukumbuka sana ujue...
Miss u sana mpenzi...tokea umeondoka nimekuwa mapweke mie...rudi mpenzi wangu rudi!
Wewe je??