Jf-tanga wing, jiandae kupanda mlima kilimanjaro!

Jf-tanga wing, jiandae kupanda mlima kilimanjaro!

Heheh ndo ukomege kuedit post za wenzio bila kuelewa.
Mi nimemtaja Arabela kuwa ndiye niliyemuachia kila kitu tumboni, sasa wewe na kiherehere chako ukaedit ukaweka jina lako. it means na wewe nilikuacha tumboni!

Khaaaaa niliedit then nikasahau hahahahahaa
 
Kama mkikubaliana kwenda na mimi nipo ndani ya safari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom