Duh!? Kumbe umeachwa! Pole sana.
Tumboni wapi mbona sijakuelewa?Kumbe we nilikuacha tumboni??
Mimi ndiye mfikishaji mkuu wa watu kileleni...huku Marangu wananiita Porter Mkuu!!!
Ahaaaaaaa...so dolali hazikupigi chenga eti?
Tumboni wapi mbona sijakuelewa?
Hahahah...sijaachwa bhanaa, mama watoto kaenda kumtembelea mtoto mkubwa WiseLady.
Copy: sweetlady, WiseLady, Passion Lady, charminglady, ladyfurahia, measkron
We KOKUTONA vp!? Unaulizia wazungu ulaya!!!!?
Niliona zubedayo_mchuzi akichimba mkwara humu, nakuhofia shemeji
Tumboni wapi mbona sijakuelewa?
Nimeipenda hii katika muktadha wa fasihi...