JF tenganisheni jukwaa la AJIRA na TENDA

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,127
Reaction score
1,635
Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au lichanganywe na kazi za consultancy; Na jukwaa la ajira libaki peke yake ili watangaza ajira na watafuta ajira wajimwage. I Submit.
 
Kwqni tenda haiwez kutoa ajira?
 
πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’

Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.

🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:

πŸ—£ LUGHA ZA KIGENI
βœ… English
βœ… French
βœ… German
βœ… Kitaliana
βœ… Russian
βœ… Romanian
βœ… Spanish
βœ… Arabic
βœ… Kiswahili
βœ… Chines

πŸ’» KOZI ZA COMPUTER
βœ… Computer Application
βœ… Graphic and Design
βœ… Video Production
βœ… Air Fare and Ticking

πŸ›  KOZI NYINGINEZO
βœ… Tour Guider
βœ… Tuition of all level (Nursery mpaka Advanced)
βœ… Cleaner Hotel Management
βœ… Ususi
βœ… Make Up (Upambaji)
βœ… Uchoraji wa hinna na piko

⏳ Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: 14/12/2025

🌐 Jinsi ya Kuomba:
Tuma ombi lako kupitia website yetu:
πŸ‘‰ Horizon Institute - Mfumo wa Maombi ya Kazi

πŸ“ž Kwa maswali au usaidizi, wasiliana nasi kupitia:
πŸ“ž 0722 186 012
πŸ“ž 0786 199 664
πŸ“§ Amani Magazeti Zanzibar
 
Vii kama nina skills tu za translation na sina degree au vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…