JF: The only place you can meet real beautiful women

Hapana kabisa sina faida yoyote nikitulia nitaweka screen shots za post zote mbili kisha utaona tofauti
Basi sawa Mkuu Wenda nmejitekenya mwenyewe ,,, Asante km utaniwekea izo shots nijipime mwenyewe !!....

Ila nn Mkuu ....Kila penye wengi basi ujue kuna kila aina ya ubinadam unapatikana !!.
 
JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....
The Power of JF
 
We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....

mshana kuna makopo pia humu...

kitu kibaya kuhusu JF watu wengi, in this case wanawake wa JF wanaishi maisha ya pande mbili za sarafu...

huku jukwaani ni watakatifu (ili mshana jr na wengine wawasifie na kuwaona walimbwende haswa)

lakini jukwaa la PM ni washenzi wa tabia kuliko ushenzi wenyewe, wanafanana na hao unaowasema hawafai...
 
Amen kwa naiba ya wadada wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…