Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ndio Mungu huyo huyo, Bwana wa mabwana!!!! Ametuachia amri kuu nayo ni ya UPENDO... Na akasisitiza tuitafute amani na watu wote!!!Mungu hapendi ugomvi?
Unajua maana " Mungu wa majeshi?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mungu huyo huyo, Bwana wa mabwana!!!! Ametuachia amri kuu nayo ni ya UPENDO... Na akasisitiza tuitafute amani na watu wote!!!Mungu hapendi ugomvi?
Unajua maana " Mungu wa majeshi?"
Mie sijambo kabisa!!Mie mzima kabisa hofu kwako.
Unakumbuka vita ya wana wa israel na wafilisti? Israel na waamon, israel na waamalek ?Ndio Mungu huyo huyo, Bwana wa mabwana!!!! Ametuachia amri kuu nayo ni ya UPENDO... Na akasisitiza tuitafute amani na watu wote!!!
KhaaaaUnakumbuka vita ya wana wa israel na wafilisti? Israel na waamon, israel na waamalek ?
Unaakumbuka vita ya Taifa la israel na mataifa pingani kwenye kitaabu chote cha Waamuzi?
Go make a refference and speak about it ...
Mie sijambo kabisa!!
Mshana Kasema ukweli, na nimejua kweli anafanya utafiti.Asante Mr Mshana kwa kutukumbuka lkn unaweza kuta waliopo huko kwingine ndo waliomo humu, ID fake ujue
Lakini asante sana maana doh umetupamba tumepambika sio wenzio kutwa kutunanga
Babu kakimbia..? [emoji3][emoji3]Khaaaa
Mimi hapaHapana kabisa... Mimi sio bazazi halafu nawaheshimu sana.. Wote niliokutana nao ni kwa ajili ya issues.. Kama kuna niliyemtafuna hata kwa bahati mbaya ajitokeze.. Nitaomba radhi
Sasa nitafanyaje udugu hazina lazma nivumilie tuu.Nikilogwa mimi na wewe agemate lazima wakufanyizie kwaiyo jipange
Bora wewe umetuthamini mengine yanakuja hapa na stress zao wanaishia kutukana wanawake
We sinilikupa yote kabisa![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ulinibania[emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]