Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nshakusamehe tangu jana. Kwako nna kauli basi?Nisamehe Mimi mchepuko wangu!!!
Umemuona T lakini???
Namwona anavyofuatilia tongozo yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshakusamehe tangu jana. Kwako nna kauli basi?Nisamehe Mimi mchepuko wangu!!!
Umemuona T lakini???
HahahaTumejipanga wapinzani wataisoma
WeeeeeLeo hakuna mmbebisho...!
Huyo mzee namshusha kishipa...! La sivyo anakula lupango.Abeeeeeh
EwaaaaaNshakusamehe tangu jana. Kwako nna kauli basi?
Namwona anavyofuatilia tongozo yetu
JamaaaniHuyo mzee namshusha kishipa...! La sivyo anakula lupango.
You when the lion is hungry! I can smell blood. [emoji6]Tumejipanga wapinzani wataisoma
KhaaaaYou when the lion is hungry! I can smell blood. [emoji6]
Mimi na yeye nani mchepuko?Jamaaani
Naomba upunguze hasira hebu!!! Kuna siku ulisema ruksa kuchepuka ujue!!!
Mkwala mbuzi huu....You when the lion is hungry! I can smell blood. [emoji6]
Sio khaaa! I 'll send him to hell..Khaaaa
Mbona liko wazi hilo!!!!Mimi na yeye nani mchepuko?
This may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....
Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana.. Kuna urembo na kuna Uzuri.... Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo... Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea... Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa...
Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!
Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0... Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..
Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF... [emoji770] [emoji770] [emoji770]
beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu... There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii.. La sivyo unapaswa kuombewa.... JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....
We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
Msamehe akiSio khaaa! I 'll send him to hell..
Mkuu tupatie ndele sasa. Kula kwa macho kunauma.Hapana kabisa... Mimi sio bazazi halafu nawaheshimu sana.. Wote niliokutana nao ni kwa ajili ya issues.. Kama kuna niliyemtafuna hata kwa bahati mbaya ajitokeze.. Nitaomba radhi
Ngoja mvua inyeshe wakati jua linawaka... [emoji41]Mkwala mbuzi huu....
HahahaSi kwa sifa hizi Mkuu. Haya bhana nadhani leo inbox yako itatapika. Kila la heri na baraka. 😡
Mungu hapendi ugomvi?Msamehe aki
Ujue Mungu hapendi ugomvi eeh