JF: The only place you can meet real beautiful women

JF: The only place you can meet real beautiful women

Duh kwa hli nahc npo against na ww mkuu cz hawa hawa (fake id) tulionao uku ni wale wale waliopo kule, sema mods wamebana upuuzi mwng.
Japo siyo wote ila baadh yao n wale wale si me/ke.
Narudia tena mke/mme mwema ni pale ulipombahatisha maana watu wana fake life hatar na siyo vngnevo
Sikuandika kwa kigezo cha ID bandia, hebu nisome tena.. Nimeandika nje ya uhalisia wa hizo ID.. Ukifuata ID wengi ni weupe, wazungu na waarabu.. Utapotoka utapotea
 
Sikuandika kwa kigezo cha ID bandia, hebu nisome tena.. Nimeandika nje ya uhalisia wa hizo ID.. Ukifuata ID wengi ni weupe, wazungu na waarabu.. Utapotoka utapotea
Sitaki kubishana na ww wenda nawe umenunuliwa. Maana ww unasifia kitu ucchokijua si taabu tupu au kisa comment zao na kutokupost vtu km fb na kingne tofautsha Jf na uko cz ukija uku na utoto wa uko utayaoga au mods wakuzime had utajshape mwnyw
 
Looh hadi nimetabasamu hahahahaha halafu akili yangu korofi ikaniambia hizi sifa zote za kwako Kasie yaani huu uzi asilimia 98 mshana jr kakuanzishia wewe hehehehehehehehee

Wuuhuuuuuu nimefurahii kama kawaida yangu kucheka ndo hulka yangu. Asante mshana kwa sifa kedekede kutoka kwenye kilindi cha moyo wako, vile wajua mwanamke uchumi wake kusifiwa ila zisiwe sifa za uongo.....

Ever Smiling Kasie.
 
This may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....

Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana.. Kuna urembo na kuna Uzuri.... Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo... Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea... Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa...

Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!

Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0... Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..

Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF... [emoji770] [emoji770] [emoji770]

beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu... There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii.. La sivyo unapaswa kuombewa.... JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....

We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....

Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana

Jr[emoji769]
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke wife material wa mitandaoni huu ni udanganyifu tu

Humjui tabia vp unaweza Sema ni real beutiful?
 
Sitaki kubishana na ww wenda nawe umenunuliwa. Maana ww unasifia kitu ucchokijua si taabu tupu au kisa comment zao na kutokupost vtu km fb na kingne tofautsha Jf na uko cz ukija uku na utoto wa uko utayaoga au mods wakuzime had utajshape mwnyw
Najua kutofautisha pretenders na ambao sio pretenders... Wengi ninafahamu acc zao fb mpaka insta... Sijanunuliwa.. Sijui umetumia kigezo gani kusema nasifia nsichokijua.. Kuna points nyingi sana umemiss kwenye andiko langu hebu rudia kusoma tena uone... Angalia mtazamo wangu kuhusu uzuri wa mwanamke
 
Huwa napata mashaka na upeo wako dogo..unaonekana ni jobless na unaishi kwa dada ako..empty brain
 
Looh hadi nimetabasamu hahahahaha halafu akili yangu korofi ikaniambia hizi sifa zote za kwako Kasie yaani huu uzi asilimia 98 mshana jr kakuanzishia wewe hehehehehehehehee

Wuuhuuuuuu nimefurahii kama kawaida yangu kucheka ndo hulka yangu. Asante mshana kwa sifa kedekede kutoka kwenye kilindi cha moyo wako, vile wajua mwanamke uchumi wake kusifiwa ila zisiwe sifa za uongo.....

Ever Smiling Kasie.
[emoji47] [emoji47] [emoji15] [emoji47] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila uzi ninaondika hakosekani mtu wa kusema nimemlenga yeye... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji770] [emoji109] [emoji109] [emoji121] [emoji121]
 
Back
Top Bottom