JF: The only place you can meet real beautiful women

JF: The only place you can meet real beautiful women

Inabidi wanawake watuunge group tuoneshane pic za wanaume wa humu,,ili akikujia unajua kabisa huyu ni flan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 35 na 45 ,mbona wengine hata 30 hatujafikia kabisa
espy Evelyn Salt MBITIYAZA
Naunga mkono hoja tuweke group tutume. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kama namuona nanihii na naihii watavyowahi PM
 
Mnatuchosha bana tena ulivyo na kichwa kirefu sasa utawatambuaa wanawake wa humu
Tunaunga group yaan kama unajijua ulirushia mwanamke picha humu tunaambiana huyu daby anaishi sehem flan,,huyu flan namba yake ya simu hii hapa ,hata kama unatumia id kumi na namba 100 si ataona picha mkikutana tu anajua huyu flan kumbe ana id zile ahaaa inakua tayari ana alarm kichwani
Teh,

haha kiuhalisia Ila si mna magroup yenu ya member wa humu?
 
Si unaona wanawake wa humu wanaanzia miaka35 kuendelea wakati mie hata 27 sijafikisha,,,
Tunakisia tu ntakua na 60 kama wewe una 63 hivi
Mi ndo kwanza nina miaka 21 kwanini mtu aanze kusema wote huku tuna miaka 35. Kusingiziana hata sijapenda. Mbona wao wengi ni below 25 na above 45 tunawachunia.
 
Naunga mkono hoja tuweke group tutume. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kama namuona nanihii na naihii watavyowahi PM
Eee hakuna kufichana,,maana wao wanatumbuua kila siku humu,,na tutaunga group kule pm,,,ili siku mwanaume wa humu akimuanika na kumsema mwanamke vibaya na sie tunaanika mwanaume mmoja na kumsema vibaya,,
 
Kwa vita hatokuweza ,Ila kwann iwe Vita mpaka mtoane jasho ???.

Edo alikuambia nn kuhusu Tajiri ?? Nakiliwatokea nn Wewe na Kidawa ??.

Itakua vema km kila mmoja atatulia .
Hilo nalo neno

Angekuwa afande angeringa mbona
Afande junior huyo hamna kitu hapo mwacheni ana frustration za maisha

Khaa yaani mkaoneshane picha zetu kisa mmekasirishwa... nitaua mtu ole wenu mkatumiane picha yangu mnitangaze nina bichwa kama matikiti ya Morogoro.

Nitawalaani.
Hihihihi Bro nawe umooo?!

Kwa hili povu..... Utakua uliibiwa bwana...... Pole.
Kwakweli

Naunga mkono hoja tuweke group tutume. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kama namuona nanihii na naihii watavyowahi PM
Mje huku achaneni na huyo Afande anawategeshea

SWALI: KOSA LANGU NI NINI SASA?!
 
Mi ndo kwanza nina miaka 21 kwanini mtu aanze kusema wote huku tuna miaka 35. Kusingiziana hata sijapenda. Mbona wao wengi ni below 25 na above 45 tunawachunia.
Haloooooooooo wasituzeeshe tenaa,,narudia wanawake wa jf wazuri wana tabia nzuri hatupigi mizinga,wastaarabu ,warembo kuliko mitandao yote ambae hapendi achukue dudu yake ajiingizie matako.ni
 
Ila tu wanaume wa jf mna roho mbaya baadhi yenu,,hivi tukisifiwa kwanini hamkubali,,yaan wengine roho zimewauma kweli Kuona huu uzi ulioandikwa na Mshana,,sasa mlitaka awasifie wanaume wenzie ili iweje,,acheni hizo bana
Tukileta uzi kusifia baadhi ya wanaume mnapovuka tena hata sijui tuwafanyeje
Labda walitaka wasifiwe wao na mwanaume mwenzao
 
Teh,

haha kiuhalisia Ila si mna magroup yenu ya member wa humu?
Tunatengeneza hili jipya la mikasa ya wanaume wa jf,,jiandaeni najua mnasoma hapa
Group linaanza leo ,,,we kama mwanaume ulituma picha kwa mwanamke yeyote wa humu tunabadilishana tuwajue wote
Mmetuchosha kabisa yenu hatusemi,yetu vifua mbele
Cc GuDume
 
Khaa yaani mkaoneshane picha zetu kisa mmekasirishwa... nitaua mtu ole wenu mkatumiane picha yangu mnitangaze nina bichwa kama matikiti ya Morogoro.

Nitawalaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunatengeneza hili jipya la mikasa ya wanaume wa jf,,jiandaeni najua mnasoma hapa
Group linaanza leo ,,,we kama mwanaume ulituma picha kwa mwanamke yeyote wa humu tunabadilishana tuwajue wote
Mmetuchosha kabisa yenu hatusemi,yetu vifua mbele
Zoezi litatuhusu wote hata mimi au wanaowashushua tu?
 
Back
Top Bottom