JF: The only place you can meet real beautiful women

Kwa mara nyingi Mshana Jr huwa naona unadondokewa na bahati.

Siku ukiwa umekinai uwe unatushtua basi wazee wa kijiweni na sisi tukauone ulimwengu mwingine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ntka utumie ile njia pendwa,sio njia za kina diamond kuhonga magari.

Tumia ile ya kitalamu najua haitagharimu hat nusu ya kamshahara kangu mkuu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kila kimoja kina gharama zake
 
Ilikuwa zamani nimekoma.nilipata kizee kimoja kinaringa hicho .nimekoma.eti nisijambie Prado lake mfyuuu
Safi kabisa, Mshana Jr keshakusikia, vijana wenzako tupo, bado hatujashindwa kukuhudumia, kwa kuwa nguvu tunazo na pesa tunazo.
 
Safi kabisa, Mshana Jr keshakusikia, vijana wenzako tupo, bado hatujashindwa kukuhudumia, kwa kuwa nguvu tunazo na pesa tunazo.
[emoji2][emoji2][emoji2]ila tunguli ndio hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…