Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka Mshana Jr ebu niunganishie kwa huyu Miss Natafuta nimle
Siriaz .[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ntka utumie ile njia pendwa,sio njia za kina diamond kuhonga magari.Poa andaa mavumba niingie kazini
ugonjwa wetu...Ya mwisho basi[emoji112]View attachment 937518
Anafaa kwa w/end
ha ha ha haUkiwa huna za mawazo lakini[emoji23]
Anasemaje eti Mkuu? Mwambie aandike kiswahili nielewePoa andaa mavumba niingie kazini
Nimepata wivu ghafra, usirudie tena hiyo kauli!mshana baby.napenda sana wazee.
Ilikuwa zamani nimekoma.nilipata kizee kimoja kinaringa hicho .nimekoma.eti nisijambie Prado lake mfyuuuNimepata wivu ghafra, usirudie tena hiyo kauli!
Safi kabisa, Mshana Jr keshakusikia, vijana wenzako tupo, bado hatujashindwa kukuhudumia, kwa kuwa nguvu tunazo na pesa tunazo.Ilikuwa zamani nimekoma.nilipata kizee kimoja kinaringa hicho .nimekoma.eti nisijambie Prado lake mfyuuu