JF: The only place you can meet real beautiful women

JF: The only place you can meet real beautiful women

Mi nilimjibu hivyo nikimaanisha wanawake wa Jf tunapenda kwa ujumla wetu ...na wewe nimekujibu kama nilivyomjibu Mshana
Achana na hicho kikongwe cha kishimundu hakina dili wala ishu wala swaga wala mapene wala pochi nene
 
mshana baby.napenda sana wazee.
Hata wazee wanakupenda pia
mghothi eenda vabora.jpg
 
Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!


Umewatafuna wangapi?πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Kumbe umeamua kuelekeza ufundi wako huko?
Waonee huruma wengine ni shida za Dunia tu ndiyo inawaleta kwako!
 
Back
Top Bottom