financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Huyu ni mimi kabisa Garage kwetu nikiwa napiga spana🤔 bora kujituma wenyewe tu, wanaume wenyewe hawatoi pesa siku hizi😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mimi kabisa Garage kwetu nikiwa napiga spana🤔 bora kujituma wenyewe tu, wanaume wenyewe hawatoi pesa siku hizi😀
😘😘financial services mganga amewakumbuka
Haya sasaUkweli ni kwamba hakuna mwanamke wife material wa mitandaoni huu ni udanganyifu tu
Humjui tabia vp unaweza Sema ni real beutiful?
Hapa JF kuna wanawake hata kukutana nao ni baraka tosha kabisa.This may be too real to be true to you. But that's the reality! Take it from me.
Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana. Kuna urembo na kuna Uzuri. Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo. Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea. Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa.
Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote. Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe. Huu ni uzuri kulingana na mazoea. Kwingine vigezo sio hivi. Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla. This is the real beauty.
Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0. Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..
Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF. [emoji770] [emoji770] [emoji770]
beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu. There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii. La sivyo unapaswa kuombewa. JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness. I adore them all.
We are yet in another year. Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo. Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.
Long live JF flowers. Ladies with beauty and brains. Nawapenda sana
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha,kn memba humu mkiwaona wanavyochangia humu ukija kumuona live,unakimbia
Uishi maisha marefu mkuu...tunamshukuru kwa hizo sifaThis may be too real to be true to you. But that's the reality! Take it from me.
Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana. Kuna urembo na kuna Uzuri. Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo. Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea. Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa.
Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote. Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe. Huu ni uzuri kulingana na mazoea. Kwingine vigezo sio hivi. Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla. This is the real beauty.
Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0. Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..
Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF. [emoji770] [emoji770] [emoji770]
beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu. There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii. La sivyo unapaswa kuombewa. JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness. I adore them all.
We are yet in another year. Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo. Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.
Long live JF flowers. Ladies with beauty and brains. Nawapenda sana
Jr[emoji769]
Mungu fundiKaribuni RwandaView attachment 1846114
Nilikua njuka tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]ulikuwa wapi mjukuu?
Mzee we sema tu umeopoa mtoto toka pande hizi[emoji23][emoji23][emoji23]