Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ni single mother, maana humu hasira za watu ndio zinaishia huko.Asante Mr Mshana kwa kutukumbuka lkn unaweza kuta waliopo huko kwingine ndo waliomo humu, ID fake ujue
Lakini asante sana maana doh umetupamba tumepambika sio wenzio kutwa kutunanga
Hakuna ubaya. Swali ni je kweli wanastahili hizo sifa?Kuna ubaya kumsifia mtu? Nimeandika uhalisia kwakuwa nimekutana nao si chini ya 50
Jr[emoji769]
Single mother Wana tabu Sana.Kwani wewe ni single mother, maana humu hasira za watu ndio zinaishia huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitu mshana Jr anachokitafuta sijakivumbua mpaka sahiv nimerudia mara tatu kusoma lkn nimetoka kappa [emoji848] sijaelewa kitu
Mbona unataka kudanganywa umma brother Mshana huo utafiti wako umelenga vigezo vp mpaka ukaqualify na kutoa script Kama hii mbele ya umma kukiwa na CEO na watu wenye IQ kubwa dunian
Unataka kuaminisha umma kwamba wanawake wa JF Ni Bora in and out according to their Life style mm napinga tunaweza hata kupigana hapa.Mara ngap nasoma Nyuzi za girls hovyo kwenye Ndoa zao leo hii unakujakuwasafisha .hard Sana kuamini .Ww umekutana nao just for different issues ndo ikakupelekea kuja kuwaanzishia Uzi wa kuwapromote
Mm mwanamke akijiunga JF sioi nasema hafai huyo hata nikikuta ana App ya jamii forum napiga chini fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndonwapi hao na mimi niwaoneHumu kuna vibungo hatari vinavyojua kutumia smartphone! Na wengine ni wanawake waliozeeka wale wa kwny 35-60 na kuendelea!! Ni vikongwe hatari!
Sijawah Kutana na mwanajf hata mmoja japo wengi namba zao ninazo I wote ni me mfano bro or Prof Mshana Jr ..ngoja niwinde wa kike watano nimit nao nijue uzuri anayosema bro mahaba..UZURI WA ROHO
Mi ni nani nipinge hili mtani.Huo uliousema Mkuu ndio ukweli halisi wa wanawake walio wengi wanaopatikana jf na kama wapo nje ya ulichokiandika basi ni wachache.
Ila niwe mkweli kwa sifa hizi hii siku ya leo itakuwa nzuri humu jf japokuwa kuna wapingaji wanaojifanya kuwafahamu wanawake wa jf kwa hisia watakuja kubisha