Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mkuu miss natafuta alikuuliza kwamba mimi nasemajee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefatilia comment zako zote lakini sijaona ukimjibu mkuu.
Mjibuu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu miss natafuta alikuuliza kwamba mimi nasemajee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
Sio bure kuna kituWe are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
Bila shaka kaka umeongeza mke kupitia hapa.. Wengine wanavyotuponda hivi kweli wewe unatusifia si bure una ushahidi na hili unalosifiaWe are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
You among the best ones dadaBila shaka kaka umeongeza mke kupitia hapa.. Wengine wanavyotuponda hivi kweli wewe unatusifia si bure una ushahidi na hili unalosifia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... Uzi una zaidi mwaka...urudie maneno yaleyale....Kuna kitu kinakuvuruga profesa...kwa kuwa "wote" tumo humu....time will tell...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji30][emoji30][emoji30]acha roho mbaya... Ile ya koro show
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekopi na kupesti blazaDah... Uzi una zaidi mwaka...urudie maneno yaleyale....Kuna kitu kinakuvuruga profesa...kwa kuwa "wote" tumo humu....time will tell...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
This may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....
Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana.. Kuna urembo na kuna Uzuri.... Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo... Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea... Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa...
Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!
Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0... Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..
Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF... [emoji770] [emoji770] [emoji770]
beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu... There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii.. La sivyo unapaswa kuombewa.... JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....
We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
Dah... hivihivi tu?...time will tell blaza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekopi na kupesti blaza
Jr[emoji769]
Hii ni kampeni kama 2020We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
Kwa kupenda kusifiwa!!Huo uliousema Mkuu ndio ukweli halisi wa wanawake walio wengi wanaopatikana jf na kama wapo nje ya ulichokiandika basi ni wachache.
Ila niwe mkweli kwa sifa hizi hii siku ya leo itakuwa nzuri humu jf japokuwa kuna wapingaji wanaojifanya kuwafahamu wanawake wa jf kwa hisia watakuja kubisha