Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Asante[emoji177]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali na kukataa mana yawezakua au isiwe. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani unaamini nina miaka 21 kweli??
är på Arusha just nuvart ar du bosatt?
Nyie mtuambie ukweli....... Mim nna wasiwasi na hilo povu.......kama hamkushea bwana basi mlimnyang'anya kabisa........Hahahaa. Umeonaeeee.
Yaani hata kutabiri kashindwa mdogo wangu lol. Anipishe mie.
Na ndio sababu nikasema nyie mnaotufahamu ndio mtakaomuumbua.
Ooh kumbe we husna yule?Wanawake wa JF bhana...nimejamba comment 1 tu mmepoteana mpaka thread iko page ya 26 etc...sasa kuwakomesha nawafungulia thread masingo maza nyie...aki mtahamia YouTube🙂
Mnajiona prominent profiles kumbe mashangingi...kama ni uanamke na tabu zake kwa hapa JF naujua...ni nani kati yenu ameshawahi kuvunja rekodi ya account yangu moja tu ya @Husna_TheBossLady kwa attention, comments, pm nk?...halafu hapa mnataka kujifanya wabunifu na wenye majina ee
Msinichepue mtapoteana.
mshana jr Money Penny Joseverest Vladmir Putin
Miss you too babyNimekumiss hadi naumwa
Kiarage kipo au kishanyofolewa na wasio jua kukinyonya hahahaha ila wewe
By the way seems wewe ni mzuri na sio mrembo au vipi?
Same to you hepi nyu iyaHahahahahahahhhhh.....heri ya mwaka mpya
Dhambiii hiyoMe nikimwona mwanamke hana wowowoo na hana sura nzuri,yani hajajiremba na pia hana sauti nzuri,yani hana mapozi na sio mweupe HATA SIMSALIMII (sipotezi salamu yangu wala siumizi shingo yangu kugeuka kumwangalia,aende huko kwa wa type yake ila sio mimi.NASISITIZA " SIMSALIMIII"
Khaa sasa unajuaje pm zetuWanawake wa JF bhana...nimejamba comment 1 tu mmepoteana mpaka thread iko page ya 26 etc...sasa kuwakomesha nawafungulia thread masingo maza nyie...aki mtahamia YouTube🙂
Mnajiona prominent profiles kumbe mashangingi...kama ni uanamke na tabu zake kwa hapa JF naujua...ni nani kati yenu ameshawahi kuvunja rekodi ya account yangu moja tu ya @Husna_TheBossLady kwa attention, comments, pm nk?...halafu hapa mnataka kujifanya wabunifu na wenye majina ee
Msinichepue mtapoteana.
mshana jr Money Penny Joseverest Vladmir Putin
Yaan siondoki jf mie khaa!!Ooh kumbe we husna yule?
Mshana oyeeeeeMshana Kasema ukweli, na nimejua kweli anafanya utafiti.
Bado kidogo ntasimama [emoji23] [emoji23] [emoji23]We dada umekaa kwe akili yangu!
Hahahaa. Wavulana wa siku hizi kwa Povu mbona kawaida yao.Nyie mtuambie ukweli....... Mim nna wasiwasi na hilo povu.......kama hamkushea bwana basi mlimnyang'anya kabisa........
Cc: penny
Asante sana muyovozi asie na macho hataonaSky Eklat namkubali ni kichwa . mada zake zimetulia sana..(ni great thinker in the real sense. Mbitiyaza ana comment za ufahamu mkubwa .miss natafuta anasumbuliwa na kutafuta bado ila ana brain nzuri. Kapeace namkubali kwa ufahamu Wa jinsia take na kuitedea haki. Ila wanaume mkubali tu wanaochangia mada humu wengi ni mind za above average. Mabinti wengi akijaribu ni hawawezi tu. Sasa MTU anakosea hats spelling za kiswahili hapo kunua kitu kweli (sidhani=sizani ) gharama-=galama) ndiyo Wa mitaani wanavoandika (Jamii Forum) mabinti au Wa humu ni vichwa tusibishe.
Hahahah sipo serious aiseeeDhambiii hiyo