Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Vijanaume vya siku hizi vina aibu basi. Ila muache afurahishe nafsi yake huenda ikaja siku ikawa kweli. Hahahaaaa.Aoni aibu lol...anasema uongo Wa kijingaaa.
Ila nimecheka sana. Ajipange upya aiseee.