ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Mkuu ina maanisha waki tamka nia yao watumia majina ya ID zao au majina yao halali?
Nadhani JF ID zinatosha for this purpose.
- Mkulu Zeee, topic kama hii ilishawahi kufunguliwa na kama sikosei TZnjema, lakini hakuna aliyejitokeza sijui this time labda kwa vile ni wewe!
Respect.
FMEs!
Sasa kama wana JF wanaendeleza siasa za uwoga na mambo ya chinichini inakuwa sio mfano mzuri.
Mimi nitataja watu ninaofikiri kuwa watawania ubunge 2010.
1.Kitila Mkumbo.
2.Fisadi mtoto
3.Bubu Ataka Kusema
4.Geoff
5.FMES
6.Masanilo
7.AmaniGK
Hizi ni speculations, na naamini watu hao niliowataja wanaweza kuendesha kampeni kamilifu ndani ya Bongo, i mean ''field politics''.