ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Nina imani kuwa ndani ya jukwaa la mijadala muhimu ya uendeshaji wa nchi kuna uwezekano mkubwa kuwa na wanaotarajia kuomba fursa kwa wananchi wenzao ya kuiongoza nchi yetu.Hivyo basi, naomba nifungue mjadala kwa wana JF wanaotarajia kushiriki kama wagombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 (wale walio tayari kuweka hadharani).
Je, unataka kugombea wapi?
Kwa chama gani?
Kwa dhumuni lipi kuu?
JF itegemee nini toka kwako iwapo utashinda?
Ni mimi mnyenyekevu,
Zemarcopolo.
Je, unataka kugombea wapi?
Kwa chama gani?
Kwa dhumuni lipi kuu?
JF itegemee nini toka kwako iwapo utashinda?
Ni mimi mnyenyekevu,
Zemarcopolo.