JF True Life Stories: Unaikubali ipi kati ya hizi?

Sasa na ww badala uweke Link unaleta maneno mingi tu bila link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 bonge la story . kuna vitu vingi nimejifunza .
 
Kuna
Story Kali ila mwanzisha uzi umeshindwa weka link ya zote
 
JBourne ni hatari sana baba Hamida unasoma mpaka unajiona upo ndani ya story nabunawajua wahusika
 
nigaie link nisomepo
 
Nakumbuka tu matukio.
1. Fimbo au ubao wa Babu wa Msumbuji.
2. Ipo ya Mapenzi ..jamaa alivyopenda dada huko kwa Madiba.
3. Ipo nyingine ya kusaka utajiri kwenye misitu ya Njombe.
Wadau waliokumbuka hizi kwa majina ya wasimuliaji watataja.
Kimsingi ziko nyingi sana za kusisimua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…