JF True Life Stories: Unaikubali ipi kati ya hizi?

JF True Life Stories: Unaikubali ipi kati ya hizi?

Naomba LINK nami niburudike wakuu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

 
Nakumbuka tu matukio.
1. Fimbo au ubao wa Babu wa Msumbuji.
2. Ipo ya Mapenzi ..jamaa alivyopenda dada huko kwa Madiba.
3. Ipo nyingine ya kusaka utajiri kwenye misitu ya Njombe.
Wadau waliokumbuka hizi kwa majina ya wasimuliaji watataja.
Kimsingi ziko nyingi sana za kusisimua.
hiyo ya 2 jamaa anaitwa konda msafi na demu wake khumbu mwenye tako
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Huu uzi ungependeza zaidi kama mngeweka link ya kila story

Natanguliza shukrani.
 
Na usiwaambie waache hivyo hivyo waendelee kukosa vitamu. Raha ya vitamu muwe wachache
Yani ni kimya kimya mwendo wa Magwea wife
Ila sasa najiuliza tutaanza na story au storii[emoji39]
 
Back
Top Bottom