Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwe usinigeuzie kesi mie,mweleze mkeo ukweli
Lady doctor watoto hawajambo?
Hivi wanatumia pafyum gani?
Hivi amesema perfume?
Wewe Lady doctor ina maana ulikimbia na ile perfume tangu tuko chuo ilipotea semista ya 9 katika mazingira ya utata?
Au ni 'Valentina' alikupa maana nakumbuka chumbani kwangu ulikuja mara 2 kuchukua desa
Hee mimi nijifiche wakati ukweli uko wazi.......!
Hili nalo lazima lipatiwe majibu ya kutosha with the aid of diagram ana vivid examples
kwan uran kaoa? kumbe huyu ndo mzungu ulikuwa unamsema sikuzoteee........!?????!!!!!
Mpaka siku zile ukasema mnaenda UK?
Hapa ukweli upo wazi kabisaaaa kuwa nilipotelewa na pafyumu chuoni...... Lady doctor alikuja mara 2 hostel akachukua desa la theology akaenda kusoma na Arushaone
Ulimkafu gwamwitu......! Indi kwibhabha kwula ifitungulu vfya kwulisha ku tunduma
Mbona hatujaletewa samansi..... na mgambo wa ccm?
Mimi ni mkweli daima, hivo siwezi kuukimbia ukweli..... Mimi ni muoga wa uongo tu.
Ha ha ha ha mimi ni zaidi ya tai au mwewe
Hivi siku ile wakati unachukua madesa kuna mtu alitufungia mlango ili watusingizie?
Sikumbiki vizuri kilichoendelea pale.
hahahahaha tumakabe atupe siri ya mtungi
hawajambo kabisa wa(ni)natumia Ralph Lauren notorious.
kumbe na we hujaachaga usahaulifu, yaani tangu zamani we ni kusahau tu...... Sa ngoja nikukumbushe.... Ni hiviii ile perfume ulininunulia ukampa 'Valentina' aniletee 'Valentina' naehakuifikisha kwangu hadi alipofumwa na bwana ake ndio anajidai kuniletea.......!
We Mtoto halali na hela jumamosi tukunane pale aghakan tupime DNA (banjuka tu .....) za huyo mtoto na mke wangu janeth! huwa sipendi nadharia mimi, na ukisingizia mabwepande itakuhusu.
sio mwambhomba jaman ivo lnakua 2si usseme tena. Unatakiwa kusema ghwabhomba/mwabhomba.
hahahaa kama ndo bnam kwel mna kamchezo kachafu hyo ni ktk ya nn? Mmmh naibiwa naona siamin kama mme wang ndo alkupa pafyum.
jaman kumbe mme wang ndo anahuska na hi kes?
uuuwiii....... Kumbe nimetukana ngoja nirekebishe fasta looh lugha za watu mzigo...... Munifundishage taratibu...... PANANDI!
huko mabwepande ndio nafungua na kufunga gate siku hizi, hapo kwa DNA umenena ila hospital tutabadili hukawii kutoa hongo ili ionekane mwanao ni wako. Asiye na mwana....
ucjali mamito mwanzo mgum but uko juu hunymwi maj ukfka kwe2.
mmh bas dear wang ana upendo wa agape, kwann hawaletei vtabu???
Afu we mtoto mbona mwoga mwoga?unakuwa kama maria we ni maria?
Acha kuchezea bahati oooh!