JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Hivi mods huwa hawapiti hapa ili nami nimwage udaku kwa kujiachia?
 
kuna kama udakuz mbili hivi sijazionahumu..........au zitakuja in May?!?!?
 
Huyo Baba V kala mtaji wake wa maembe ndio maana karudi kijijini!
Manake hata zile chapaa za kuwakatia machangu hana!
Mi nmtilie fitna mtu aliyefilisika mpaka mawazo!?
We vipi!

Halafu mambo ya kuitana kwenye hizi nyuzi za rusha roho mi sipendelei!
Manake humu kuna wanamme wanapaka rangi za midomo!
Ni laana kwenda mbele.

We jamaa umesharusha roho afu ndo unasema hupendi.... hhahahaha.. BTW longtime no see pal..
 
Back
Top Bottom