Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Haaaa haaa katengele, shikunga, ibaba, mtula, bwenda, luswisi, ikuti, kkk....... Lady doctor malizia
Kwetu pazuuri nimeshapakunbuuka.......
CC: janeth1
Hivi binamuuu umehamia wapi siku hizi maana hata sikuoni tena pale ngulilo
Mume alinibana nikakosa mda wa kutoka,,,mmhh
aaaah wapi!!!!!! Uliitamani tu sema ukashindwa kuitumia
Mmh wewe umesahau mume wangu hua ananletea kila aina ya parfyum!
Kwahiyo unazo nyingi hivo?
Umpelekee na mtoto sasa,
namba moja haiwezi kuwa kumi utabaki wa pembeni hivi yule Desert Storm umemvumbulia wapi maana ana kasi ya marathon lol
Toka zamani tupo pamoja unaacha wapiga kelele kwanza, ni sawa na drever tax mikogo mingi wakati mwenye gari yuko nyumbani kalala
Hivi mods huwa hawapiti hapa ili nami nimwage udaku kwa kujiachia?
kuna kama udakuz mbili hivi sijazionahumu..........au zitakuja in May?!?!?
Lady doctor mie mwezi wa saba natinga ileje, kama vipi ten'zetu....
Huyo Baba V kala mtaji wake wa maembe ndio maana karudi kijijini!
Manake hata zile chapaa za kuwakatia machangu hana!
Mi nmtilie fitna mtu aliyefilisika mpaka mawazo!?
We vipi!
Halafu mambo ya kuitana kwenye hizi nyuzi za rusha roho mi sipendelei!
Manake humu kuna wanamme wanapaka rangi za midomo!
Ni laana kwenda mbele.