Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
shosty nakupa pole kutoka kwenye mtima wa moyo wangu waikataa looh!!! Ashukuriwe Mungu kama umezinduka hope uko sawa sasa
ahahahahahaha
mbavu zangu mie
angalia zisichomoke nkulu
nimezizuia nzuna...umenifurahisha sana
ha ha ha umethibibitisha kuwa wewe ni mnyantuzu in and out,
unafight til the last drop..
hahahahah tumtakatishe leo nini
mwallu, we sema kuna unachoogopa, so unauficha ukweli kwa nguvu zote.
ushauri.
kupoteza ni kujifunza pia.
tumpe muda ajirudi...siriasly atatakata
kashasema, jasiri haachi asili