JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

hivi inakuwaje mnasema hajafilisika wakati kaonekana akigombea daladala pale akiba? Tyta wawekee ushaidi hawa

Akiba nagombea daladala nikielekea wapi? Makazi yangu ni jirani na Paw kule BLUE DIAMOND OF TANZANIA a.k.a KIGAMBONI.
 
Last edited by a moderator:
Akiba nagombea daladala nikielekea wapi? Makazi yangu ni jirani na Paw kule BLUE DIAMOND OF TANZANIA a.k.a KIGAMBONI.

aaah! kile kituo cha pale baridi hukugombania gari pale wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna udaku hapo bhana!
Mbona yote ya kweli
 
Ha ha ha...umesikia mie mtaalamu wa kuziba mapengo eeeeh.
 
hivi inakuwaje mnasema hajafilisika wakati kaonekana akigombea daladala pale akiba? Tyta wawekee ushaidi hawa
Mentor si anakaa alikowaambia magufuli wapige mbizi?daladala yeye wapi na wapi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…