JF Udaku.. Special Edition!! 2014.


Huyo Baba V kala mtaji wake wa maembe ndio maana karudi kijijini!
Manake hata zile chapaa za kuwakatia machangu hana!
Mi nmtilie fitna mtu aliyefilisika mpaka mawazo!?
We vipi!

Halafu mambo ya kuitana kwenye hizi nyuzi za rusha roho mi sipendelei!
Manake humu kuna wanamme wanapaka rangi za midomo!
Ni laana kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
Shiiiiiiiiii! nimekumisi sogea huku hapo watasikiaaaa enheeee hapo sawa nimemisi nanihiiiiii,kwani huku atakuona?

thahahahah mtu na dadake umewaona cc uran
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…