Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa....we mkorof jaman kweli bodgad wang... Ebu muulze mme wangu atakwambia uyo mtoto ni wa nan?
nimeona niweke wazi dam yangu isipotelee kwenu
Habari zenu wadau!!
Nitoe udaku kidogo, baada ya wahusika wakuu
Baba V na TANMO kuishiwa habari.
This is udaku special edition!!
1. Bishanga atoweka Jf baada ya kuoteshwa kitu kibaya, ni katika fumanizi na mke wa mpemba mmoja.
2. Karucee apigwa chini na yule mbeba box..
hali ya mwathiri sana na kuamua kuvamia waume za watu.
3. Lady doctor ana ujauzito wa miezi miwili... mtafaruku mkali waibuka juu ya ujauzito wake, kwani ana miezi minne hajakutana na mumewe Arushaone. Mwenye mimba anasakwa kwa udi na uvumba.
4. Baba V arudi kijijini, inasemekana mjini pamemshinda. fitna za kina kahtaan & co. zinahusika.
5. Rich Pol akamatwa sokomatola guest house akivunja amri ya sita na charty..kumbe ni mke wa mtu. kidogo akatwe kikojoleo.
6. Mentor afilisika, aonekana akigombania daladala!
inasemekana kuna mdada kammaliza!!
7. Erickb52 kapotea nyumbani kwao, siku ya 8 sasat
na kumwachia Chocs majukumu mazito ya kulea.
Mara ya mwisho alionekana Tengeru, na inasemekana kafichwa huko. black woman is suspected here.
8. Teambazaz yaendelea kumtesa ladyfurahia.
Kiongozi wao Asprin ajitangaza rasmi.
members wote wawa verified.. mwekundu ndani!!!
9. Ndoa ya Mwanyasi na janeth1 utata mtupu..
inasemekana Mwanyasi alimtambulisha mchumba wake kwa wazazi feki.
-kumbe na janeth anamtoto mkubwa tu wa darasa la 4..mwenyewe akana na kudai mtoto ni wa dada ake.
10. kiwatengu ashindwa kulipa mahari.
mkewe shansarie ahaha kuinusuru aibu, pesa ya VIKOBA yatumika..wakimbia mtwara baada ya mrejesho kukwama..
11. Imegundulika Excel nae ni #teambazaz ...mkewe miss neddy azirai kwa saa kadhaa baada ya kuujua ukweli..
daud1 na Kibo10 ndiyo waliotoboa siri.
Kesi iko kwa baba paroko..
12. Heaven on Earth kujifungua hivi karibuni, vidume tofauti vyapishana kupeleka viwalo vya mtoto kijacho.
Baba halisi wa kijacho bado ni utata mtupu..
kuna uwezekano akawa menber wa #teambazaz ..
CC: Kaizer, angelious KOKUTONA Eli79
hahahaaa we acha uchokoz bodgad me nimewai nanili na wew? Tena futa kaul kat husband hajakasrka iv kapumzka akiamka patachmbka hapa..
hahahaaaaaaaa uran umenichekesha sana lol..........ngoja nicheke kwanzaaaaaa
baba kijacho hajulikani lol
Mwe siwezi kumvuruga huby wangu even single day,nampenda ad nachanganyikiwa.
Jamani nimepita tu!
Nawasalimu wote katika Jina lake Bwana wetu anayetupa uwepo wa hata hivi sasa!
Majukwaa mengine jamani! Mmmmmh!
kwani hukumbuki? Mi naishia hapa mtoto akikua atanitafuta tu. Msalimie huyo aliyelala, mwambie akumbuke kuwa mapenzi ya siku hizi ni kiti cha basi.
mmmh muongo wewe! Mbona yule mume wetu ndo unampenda zaidi kuliko huyu?
mmmh muongo wewe! Mbona yule mume wetu ndo unampenda zaidi kuliko huyu?
huu udaku unaibua mambo, haya best njoo upate ukwel wako uku...