Desert Storm
Member
- Jan 30, 2014
- 74
- 23
Naweka pingamizi!!!
Karucee wangu hili pingamizi sijui kama tutasalimika inaelekea utazidi kusaga lami nami kubeba box
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweka pingamizi!!!
Una hatari weye
Unadhani una ubavu huo?
Nabishaaaaaaa.
Sijawahi kuwa na mbeba boksi ila sasa nataka kujimuvuzisha kwa Desert Storm.
Anataka tufunge ndoa so mwenye pingamizi tunampa 21 days na atoe sababu not to mention evidence.
Kaizer, uran, kiwatengu, sosoliso, miss neddy
Naweka pingamizi!!!
hahahahaha nusu kaputi itamfaa zaidi mamii cc Karucee
hahahahahaha mamii roho mtakavitu huyu huyu alienusurika kitanzi cha ban kwa huruma yangu cc Eiyer
kwani mimba uliyonayo ni ya nani?
We umetumwa ee,mwambie hujanikuta
mimi mzima mamii miss youyeah beibe....... Mzima lakidi douta wa mie?
weeeeee mwana weeee usitake nimwage 'kuku kwenye mchele wengi' (sijachapia)
shindwaaaaa!
ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!!
sawa nitamwambia sijakukuta lakini upo ndani
ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!!
ni ya mume wa mtu...... I mean mume wangu na mtu mwenyewe ndo mie... Upo!!!