JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Msalimie mumeo,alafu uje uchukue ile pafyum yabei mbaya uliyonunuliwa na yule mshkaji wako. Isije ikanletea kesi nyumban kwangu

halafu nilishasahau aliyeninunulia ila kama sio mumeo uran basi atakuwa mtoto bily, kama sio huyo basi ni mkwe wangu Excel au Viol ama Kibo10 wakati mwingine nahisi labda ni Mwanyasi au mwekundu....... oops mie wala sikumbuki kama vipi itumie tu......... Ukipigwa poa...... Kwanza mangumi ya mpenzi hayaumi!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

duh mme wang naemjua mie!! Haya ngoja aje akukumbushe kama ndo alekupa maana..
 
Last edited by a moderator:
Msalimie mumeo,alafu uje uchukue ile pafyum yabei mbaya uliyonunuliwa na yule mshkaji wako. Isije ikanletea kesi nyumban kwangu

shost umeltbua njoo uone tmbwil huku pafyum imezua kzazaa watu wamepangwa 4ren wahuskao na hyo ndude.
 
halafu nilishasahau aliyeninunulia ila kama sio mumeo uran basi atakuwa mtoto bily, kama sio huyo basi ni mkwe wangu Excel au Viol ama Kibo10 wakati mwingine nahisi labda ni Mwanyasi au mwekundu....... oops mie wala sikumbuki kama vipi itumie tu......... Ukipigwa poa...... Kwanza mangumi ya mpenzi hayaumi!!!!!!

We mwanamke unabalaa,nisikufumanie tu na mume wangu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom