JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

ni mzima kabisa, nampenda sana mke wangu.
mke wangu ni very charming..
i love her, kuanzia kucha hadi nywele.
nampenda na kila nikiwaza juu ya my 'Valentina' moyo wangu unapiga makofi
na shangwe na vigelegele..

Duuh kupendwa raha,kupendwa ndo huku,kupendwa kuheshimiwa. U make me happy darling!
 
Last edited by a moderator:
shost umeltbua njoo uone tmbwil huku pafyum imezua kzazaa watu wamepangwa 4ren wahuskao na hyo ndude.

hao ni kaka binamu jamani msije mkanitoa roho...... Ila mmoja wapo ndo alileta hiyo zawadi
 
Back
Top Bottom