Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
mbane akwambie kwanini anaweka pingamizi lol
heee baby baba ako si wakubanwa atii kwani hujui kuwa ye ndo ameinunua #teambaazazi ?
Cc: Kaizer
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbane akwambie kwanini anaweka pingamizi lol
hahahahahaha jenga heshima mamiii wanapoteajeee cc Karucee
Hahaaa kumbe kunguru mwoga
nikikuta skendo kuhusu familia yangu nanunua magazeti yoote hakuna atakae pata hata mmoja
etieeh......... Sawa ila nitajenga heshima na baba ako wa kambo (usiniulize swali hapo mtoto)
shindwaaaaa!
Kaizer anahusika kwenye ujauzito wa Lady doctor
Najua unajipendekeza uran, naona skendo yako ya ku pm wake za watu haijaisha unatafuta ingine.
Waume za watu wanajiletaga wenyewe. Arushaone siachani nae hata kwa lipi.... na hao wengine pia. Wote wangu.
Mtunze mumeo azawais I have room for him.
Naomba kujua kinaendelea nn ss hivi apa .... Lady doctor
hahahahaha nimekupenda bureeeeee mamii
Haya maneno unamwambia nani HNY?
Karucee tunamegeana kimtindo mwache ajinafasi
angalia asikuzidi kete tu