JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Mentor ,hajafilisika ile anajipanga kuja kuimarisha chama chetu na sera mpya ,salamu hizi zimfikie mke wake mpendwa mwallu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha umethibibitisha kuwa wewe ni mnyantuzu in and out,
unafight til the last drop..

umeona eeeeh nakufa na tie shingoni niachie tena husband kama Excel everywoman dream hakuna kitu kama hicho
 
Last edited by a moderator:
hajafilisika nzuna.. uran anapakazia tu... mwekundu kuna siku utakua mweupe kama theluji..endelea

mwallu, we sema kuna unachoogopa, so unauficha ukweli kwa nguvu zote.
ushauri.
kupoteza ni kujifunza pia.
 
Last edited by a moderator:
we unamuombe afilisike eee? na hafilisiki ng'ooo
mwallu, we sema kuna unachoogopa, so unauficha ukweli kwa nguvu zote.
ushauri.
kupoteza ni kujifunza pia.
 
no 11, pacha wangu Excel mbona tuko nae siku zote ,@!Miss neddy ameapa atambadilisha moja ya masharti wakati anamchumbia

kashasema, jasiri haachi asili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom