Hii ID ni mpya lakini mmh... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Hahahahaha pole mkuu tunajifunza kutokana na makosa
Wengine wakibwagwa wanafungua ID mpya, mwingine ana mtu wake na password ya ID anayo kiasi fulani inapunguza uhuru aaah ya nini ni kufungua ID mpya
kila mtu ana sababu yake
Ilikuwaje mkuu
You can predict but whatever the case it was very bad
Habari yakoHii ID ni mpya lakini mmh... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Mmewahi kuonana in person ?Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Hapana.Mmewahi kuonana in person ?
Shem shemHii ID ni mpya lakini mmh... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Yaani mnakutana jf hamjawahi kuonana laivu na mnafikia level ya kununiana hayo ni maajabu.Hapana.
Ha ha ha ha.Yaani mnakutana jf hamjawahi kuonana laivu na mnafikia level ya kununiana hayo ni maajabu.
[emoji15] [emoji144] nzuri kabisaHabari yako
detective mshana junior
Naamini simo kwenye listHahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Naomba tuonane weekend ijayo kama hutojali.Ha ha ha ha.