Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha ya kuchekewa kinafiki?Naamini simo kwenye list
Dah... Ninong'oneze basi nikufehemu sheeShem shem
Unadhani kuonana ni tatizo basi? Tatizo una issue gani ya msingi?Naomba tuonane weekend ijayo kama hutojali.
Na kununaHahahha ya kuchekewa kinafiki?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hehehehe demiss njoo hapaDah... Ninong'oneze basi nikufehemu shee
Mimi na wewe Teena pamoja na kunifanyia ziara za usiku ndotoni sijawahi kukununia.Na kununa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] nakuja pm kwa ruhusa lakiniHehehehe demiss njoo hapa
kwaiyo unamnunia stranger [emoji23]Hapana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna jitu lako ulilichamba,na mimi nililichana live hadi Leo linaninunia.Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ni kwa vile ndoto zimekuwa tamMimi na wewe Teena pamoja na kunifanyia ziara za usiku ndotoni sijawahi kukununia.
Sasa kama inaboa???? Uichekee tuu? Labda kinafkikwaiyo unamnunia stranger [emoji23]
Hahahahhaha ukishaona jitu linachambwa na mtu zaidi ya mmoja ujue lina shida [emoji16][emoji16].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna jitu lako ulilichamba,na mimi nililichana live hadi Leo linaninunia.
Habari zenuHii ID ni mpya lakini mmh... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kujuana kwa ukaribu zaidiUnadhani kuonana ni tatizo basi? Tatizo una issue gani ya msingi?
Sijawahi kuvutiwa na hilo.Kujuana kwa ukaribu zaidi
Hahhaha ,kumbe wakati mwingine ni bora kutojuana na watu nje ya hizi Id..asante cuteHahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Kipi kinakuvutia ?Sijawahi kuvutiwa na hilo.