Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Hahhaha ,kumbe wakati mwingine ni bora kutojuana na watu nje ya hizi Id..asante cute
 
Back
Top Bottom