Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaNazuga tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Mzigua90 ndio kila kitu aiseeee
PamojaHapo sawa
Ipoooo hiyo haliiiYaani mnakutana jf hamjawahi kuonana laivu na mnafikia level ya kununiana hayo ni maajabu.
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Naamini simo kwenye list
Mme wangu [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] unataka ushemeji gani tenaaaDah... Ninong'oneze basi nikufehemu shee
Jaman mbn mnanichanganyaaaa?Hehehehe demiss njoo hapa
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] unaenda wapi[emoji15] [emoji15] [emoji15] nakuja pm kwa ruhusa lakini
Umeaanza lini codes
Mme wangu wewe na Mwifwaa mna nn ?Natamani kujua zaidi...chai mpya semosi ya zamani na kinyume chake
Siku nyingi sanaaUmeaanza lini codes
Basi huo nao ni ushamba na mapepo ndani yake.Ipoooo hiyo haliii
wewe hapoHalooo. Unaongea na simu???
Mambo dear
Bila shaka ULIMTONGOZA MKEO KWA MARA NYINGINEWaheshimiwa habari zenu.
Hapo zamani za kale..2013 nil
ikuwa member wa jf.
Nilifanyaga ujinga wa kipumbavu eti natafuta mke na wakati nilikuwa nimeoa.
Pm nilikuwa natongoza kila mtu.
Ebwana eeh kilichonipataga....
Kweli jf ukikurupuka utaishia kubadili I'd kila siku.
Je ni kitu gani ulichokifanya kupitia jf kinachokufanya ujute??
Binafsi natamani siku zirudi nyuma nika correct nilipofanya mashudu.
Usiku mwema.
Mh!Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
[emoji20][emoji20][emoji20]Nazuga tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Mzigua90 ndio kila kitu aiseeee