Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Waheshimiwa habari zenu.
Hapo zamani za kale..2013 nil
ikuwa member wa jf.
Nilifanyaga ujinga wa kipumbavu eti natafuta mke na wakati nilikuwa nimeoa.
Pm nilikuwa natongoza kila mtu.
Ebwana eeh kilichonipataga....
Kweli jf ukikurupuka utaishia kubadili I'd kila siku.

Je ni kitu gani ulichokifanya kupitia jf kinachokufanya ujute??

Binafsi natamani siku zirudi nyuma nika correct nilipofanya mashudu.
Usiku mwema.
Bila shaka ULIMTONGOZA MKEO KWA MARA NYINGINE
 
Sijawahi ona kama JF ni sehemu ya kuwa serious sana.

Watu wanashindwa kujua uhalisia wa forums na mitandao ya kijamii. Unaweza kujua unachat na demu kumbe kidume au jini. Sio muumini mkubwa wa PM. Lay low na observe tu
 
Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Mh!
 
Watu wasiojulikana wa JF bhaana!

Hatari sana
 
Back
Top Bottom