JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Huyu ni kama mm
Job bado hakuna,
Hapa nawaza baasha ziko wap
Niendelee na kuchapa lonjo to looking for a job

Nitapata partner humu kwel? Wa mahusiano
 
Duuu yan naamin huu muda hisia huwa hakuna kabisa,
 
Sasa bibie unataka MMU tukeshe peke yetu haitanoga ujue
😊😊😊 ndo hawa wanaokesha piemu..anatongoza wadada 5 kwa mpgo.. alafu kuna tabia naiona humu kwa wakaka..anakujia pm anakuambia eti manengelo mdada gan humu wamfaham kwa sura? na kati ya hao nani kisu? naulizwaga zaid ya mara nying tu..yaan hapo anataka akatongoze...mxiew..
 
Si utaje hata sub zake?
 
Diiiiih watu hamnazo kumbe huhuhuh na mimi nitakuja unipe hao visu
 
yan ushamba na utoto..kwann usiende tu maenyew kwa mhusika..hahaha mie nasemaga wote visu kazi kwako
Sure.....kwanza,mapenzi ni hisia sasa sijui huo ukisu/uzuri au ubaya unanafasi gani kwenye mahusiano,huwa sielewi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…