JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Huyu ni kama mm
Job bado hakuna,
Hapa nawaza baasha ziko wap
Niendelee na kuchapa lonjo to looking for a job

Nitapata partner humu kwel? Wa mahusiano
800px_COLOURBOX16626003.jpeg
 
Duuu yan naamin huu muda hisia huwa hakuna kabisa,
unemployment-concept-businessman-unemployed-company-260nw-569385361.jpeg
 
Sasa bibie unataka MMU tukeshe peke yetu haitanoga ujue
😊😊😊 ndo hawa wanaokesha piemu..anatongoza wadada 5 kwa mpgo.. alafu kuna tabia naiona humu kwa wakaka..anakujia pm anakuambia eti manengelo mdada gan humu wamfaham kwa sura? na kati ya hao nani kisu? naulizwaga zaid ya mara nying tu..yaan hapo anataka akatongoze...mxiew..
 
Nikimuandika hapa nitaongeza jam pm kwake, ila bonge la bwana kuanzia madini kichwani, roho nzuri, umbo, rangi yake sasa kama anaogea maziwa, njoo kwenye pesa yaani madolari kama yote.

We mwanaume nakujua unaweza ukalike hapa, naomba usilike msukuma wangu.
Si utaje hata sub zake?
 
[emoji4][emoji4][emoji4] ndo hawa wanaokesha piemu..anatongoza wadada 5 kwa mpgo.. alafu kuna tabia naiona humu kwa wakaka..anakujia pm anakuambia eti manengelo mdada gan humu wamfaham kwa sura? na kati ya hao nani kisu? naulizwaga zaid ya mara nying tu..yaan hapo anataka akatongoze...mxiew..
Diiiiih watu hamnazo kumbe huhuhuh na mimi nitakuja unipe hao visu
 
yan ushamba na utoto..kwann usiende tu maenyew kwa mhusika..hahaha mie nasemaga wote visu kazi kwako
Sure.....kwanza,mapenzi ni hisia sasa sijui huo ukisu/uzuri au ubaya unanafasi gani kwenye mahusiano,huwa sielewi kabisa
 
Back
Top Bottom