Daaaah. Hahahahaaaaa. Kumbe mshenzi kaja tongoza tu. Wanaume wako na kazi wallah.
Kufuatilia mwandiko tukaigundua id yake famous humu. Walah huwezi kumdhania kabisaaaaaaaaa. Akiwa humu utasema boonge la mtu kumbe kiazi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahaaa. Kwahiyo na nyie sasa hivi mnamchora tu eeeh. Kujikuta bonge la bwana kumbe nyau tuu
Hahahahaaa. Sio nanihii kweli. Maana nimesikia kuna jamaa ana ID mbili ya kitambo na ya miaka miwili mitatu nyuma. Sasa huwa anatongozea zote. Kama unayumba yumba unaweza jikuta umemkubali mtu mmoja kwa ID zake mbili. Hahahahaaa. Sema huu mchezo wa ID mbili naona mzuri sana. Unachora tu watuNa walaaaa hatukumstua, tukamuacha tu. Tunamchora tu.
Ukimuomba si ndio anasema leta namba nikutumieSi muwaombe hela wakimbie.
Haha na mimi nitengeneze Id mbili nini niwe nawachora vibaka ila mimi nitakamatwa siku mbili tu maana siwezi kuwa natumia akili kubwa kuingia tu Jf kama vile nipo chumba cha mtihaniHahahahaaa. Sio nanihii kweli. Maana nimesikia kuna jamaa ana ID mbili ya kitambo na ya miaka miwili mitatu nyuma. Sasa huwa anatongozea zote. Kama unayumba yumba unaweza jikuta umemkubali mtu mmoja kwa ID zake mbili. Hahahahaaa. Sema huu mchezo wa ID mbili naona mzuri sana. Unachora tu watu
Haha na mimi nitengeneze Id mbili nini niwe nawachora vibaka ila mimi nitakamatwa siku mbili tu maana siwezi kuwa natumia akili kubwa kuingia tu Jf kama vile nipo chumba cha mtihani
Unampa namba ya wakalaUkimuomba si ndio anasema leta namba nikutumie
ledada lekaka nimekuuja[emoji23][emoji23]@naniliu sijui nani woiiii[emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Haha hili nalo neno ila hadi umpate wakala wa kukubali hiyoUnampa namba ya wakala
Duh,sijaona ,ningempa ahsante zanguWewe umetajwa
Haki haijatendeka hapo😀😂ilikua..nw haifany
😥Haki haijatendeka hapo😀
Hahahahaaa. Sio nanihii kweli. Maana nimesikia kuna jamaa ana ID mbili ya kitambo na ya miaka miwili mitatu nyuma. Sasa huwa anatongozea zote. Kama unayumba yumba unaweza jikuta umemkubali mtu mmoja kwa ID zake mbili. Hahahahaaa. Sema huu mchezo wa ID mbili naona mzuri sana. Unachora tu watu
Ukimuomba si ndio anasema leta namba nikutumie
Haha na mimi nitengeneze Id mbili nini niwe nawachora vibaka ila mimi nitakamatwa siku mbili tu maana siwezi kuwa natumia akili kubwa kuingia tu Jf kama vile nipo chumba cha mtihani
Mi mwenyewe nitadakwa. Kwanza nitashindwa kubadilisha mwandiko. Wenye ID zaidi ya moja nawapa heko kwa kweli wanayaweza. Siku nikila ban labda nitaongeza ID ya pili. Ila sasa hivi nehiii sitaki kuishi najishtukia watu wasinigundue
Hahahahaledada lekaka nimekuuja[emoji23][emoji23]
Hahahaha