Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam mpenzi wangu, im longing for it!
Hahahahaaa.WALE AMBAO HUU UZI UKAE HATA HADI MWAKANI TUTAAMBULIA PATUPU
TUKUTANE TUJIULIZE TUNAKOSEA WAPI NA TUBORESHE NINI[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huu mtego..Kunibania kote kule leo uniite kirahisi hivyo.?
Eeeh bwana. Tena unajikuta unamuita shemeji kabisa akija na ID yake nyingine
Haha hivi wanawake hawana multiple Id? Mara mnakutana wenyewe mnaokulanaga hehehe ila hii lazima imeshawahi kutokea sema wahusika tu waliamua kupiga kimya
Kisisimame tena..Hiyo aibu yetu sote ujue..Nikiwa nje nakuwa nimebeba bendera ya familia..Acha niwakilishe vema
Teh teh..We ni mwehu walahi..Yani mm nina hasara sana
Teh teh..Kuna watu wapo Jf kwa mission maalum..Mtu anakadaftari chake..Anafanya kutick tu..
Humu watu wanalalaga kweli..au ndo mwendo wa kuamka saa tatu.
Ndio ndio. Tumeshakubali mume wetu mwanamke mmoja hawezi na tunampenda tutafanyaje sasa.
anapigia na mstari
kama ile ya ngosha mkanda ulipoungua
sio vyema kutouvalisha ukweli nguoKutumia codes sio poa jamani.
We si ndio kaboom mwenyewe au umeshasahau tena
WALE AMBAO HUU UZI UKAE HATA HADI MWAKANI TUTAAMBULIA PATUPU
TUKUTANE TUJIULIZE TUNAKOSEA WAPI NA TUBORESHE NINI[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]