JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Mimi sishowi lavu ila ninalopovu hivi hii jamii forum NI jamii Kweli Au NI Kakindu kawatu wachache
Mahana mimi sielewagii
 
Hat ukielew bado itakusumbua tu, hivyo we endelea kuenjoy tu humu.
Mimi sishowi lavu ila ninalopovu hivi hii jamii forum NI jamii Kweli Au NI Kakindu kawatu wachache
Mahana mimi sielewagii
 
Mnatafuta justifications eeh!!
Ukioba mwanamke anaanza visa ujue wewe ndio umevuruga. Sie tukipenda huwa tunatulia sana.
kuna wakati mnaota mapembe na mnaanza visa na kejeli, mwanaume hapendi dharau wala kejeli.
kwa kifupi mwanaume ni mwoga pale ke akianza vioja, hivyo hulazimika kuhama kiroho japo kimwili utamwona lkn kambi yake ya moyoni huihamishia kwingine.
Kwako atabaki kama Kaboom, kwa Khantwe atajulikana kama KingY lkn ni mtu mmoja kwa id tofauti
 
Back
Top Bottom