JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Hahahaaaaa! Hawa masikini wenzetu taabu tupu.
Shoga manengelo ina maana hatuamimiani kiasi hiki?
Unajua nitashindwa kuja kunywa maji nyumbani kwako ujue....[emoji58][emoji58][emoji58]

Ila sio siri wanaume wa Siasai wako so romantic...hawa wa MMU ni cha wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza wanaume wa kule wana pesa...[emoji39][emoji39][emoji39] na wanatingoza ki-romantic....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] (hapa sasa)
 
Dota asipomtaja mimi namtaja, alafu Nalendwa nae ni huyo huyo ninaemkubali mimi ndio na yeye anamkubali. Aje hapa amtaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe waelewa eh..hawa wa huku wapo shallow sana ... hahahhaa wew litoto wewe..umefunguka km vyoteeee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!@heaven sent ukuje mtaje na ww wakwako nami nimtaje kwani sh ngap bwana
 
Nita kuacha ikukaze alafu naikata ukianza kujinyea ili ukipate cha mtema kuni. Alafu tunakupeleka ukashughulikiwe na Jamhuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kwan kamba ya kujining'iniza sinayo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jingalao si ndio eeeh[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23]povu shoga hahahahahhaha... ukija siasan.utamuona..baba smart haijapata tokea toka ulimwengu kuumbwa!hana matusi hachambi anatemba facts tu
 
Back
Top Bottom