Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Naichukia sana siku hii....sitaki hata kuisikia.............
Ulitendwa nn? Kwa lugha ya sasa tunasema uligongwa kwenye misigino? Anways......mi bata sijui maana yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naichukia sana siku hii....sitaki hata kuisikia.............
Aisee mkoloni wiki hii naona ameniamulia kama sio kunitoa utumbo basi atanitoa mainiAna zaidi ya wanne?.....ngoja nksiwataje.....hehehehee.
Michelle karibu tufurahie valentine pamoja...au wasemaje bana.
:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:nilikuona mpz kakasirika jana una-dedicate ''Kill em by Drake''......shem in short mi sikufagilii kivile na hivi ndo nishapata mwingine yaani....:A S thumbs_down:
😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:You are so damn right Biggie,ndo maana nakupenda.......:laugh::laugh:
Aisee mkoloni wiki hii naona ameniamulia kama sio kunitoa utumbo basi atanitoa maini
😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:
Ha ha ha ha najua semina ya vice of no reason itakuwepo wiki hii lazima niudhuriePole mkuu! Wakiondoka na maini mzee wa weweeeeeee si atarudi marangu mkuu, anakuhitaji sana kwenye biashara wa vice of reason.
Utatafuna pop corn sana.....katafute mahindi ya kuchoma uendelee.😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:
Sawa Princess nimeona kwenye kidole hiyo ilikuwa talk of the town maana watu walikuwa wanapiga picha vidole tuNyota inang'aa,ulifikiri ndo mwisho??sasa nicheki mtoto wa mwenzio..kwenye kidole umeona lakini? hug umeliona???mbona watu watajibeba?
Utatafuna pop corn sana.....katafute mahindi ya kuchoma uendelee.
Posted via MobileUtatafuna pop corn sana.....katafute mahindi ya kuchoma uendelee.
:coffee::coffee::coffee::coffee:Bora umenisaidia kumwambia.......:roll:
Sawa Princess nimeona kwenye kidole hiyo ilikuwa talk of the town maana watu walikuwa wanapiga picha vidole tu
I bet there are none of them here lol!!!!!!!Can't wait for the Valentine day.......yaani.......all my single ladies where are you????
Posted via Mobile
Uko MACHI MACHI GUEST HOUSE ROOM NAMBA NGAPI? KUNA AC AU UMEPEWA CHUMBA CHENYE PANGABOI???
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:Message delivered,am happy now!!!!cheers X- shem.........:laugh::laugh:
Kumbe ndio kile 909 tulicholala wote tukaamka asubuhi tuna jasho la kufa mtu ooppsss l.o.l...Yuko kile chenye pangaboi unachokipenda.....l.o.l